<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><lyrics>[V1]
 Ni wako wewe, nimekujua,
 Na umeniambia;
 Lakini Bwana, nataka kwako nizidi kusongea.

[V2]
 Bwana vuta, vuta, nije nisongee,
 Sana, kwako mtini.
 Bwana vuta, vuta, nije nisongee,
 Kwa damu ya thamani.

[V3]
 Niweke sasa nikatumike
 Kwa nguvu za neema;
 Uyapendayo nami nipende,
 Nizidi kukwandama.

[V4]
 Nina furaha tele kila saa
 Nizungumzavyo kwako,
 Nikuombapo nami napata kujua nia yako.

[V5]
 Mapenzi yako hayapimiki,
 Ila ng'ambo ya liko.
 Anasa pia sitazijua,
 Bila kufika kwako.</lyrics>
<title>Ni Wako Wewe TZR47</title>
<hymn_number>47</hymn_number>
</song>